Ebola: Udhibiti wa kliniki ya ugonjwa wa virusi vya Ebola

Mafunzo haya ya kina ya kiwango wastani ni ya wauguzi wanaowatunza wagonjwa wanaoshukiwa au waliothibitishwa kuwa na ugonjwa wa virusi vya Ebola (EVD). Moduli hii inatoa taarifa ya uchunguzi na ukaguzi, na kuzuia maambukizi and kuthibiti, uchunguzi wa maabara, taratibu za Kituo cha Matibabu ya Ebola (ETC), uuguzi wa wagonjwa kwenye ETC, uchunguzi wa kimatibabu.sw
Other languages:
French English Swahili
Topics:
Countries: